Nyumbani Singida United wamtangaza kocha mpya byMuungwana Blog 3 -10/07/2019 04:00:00 PM 0 Klabu ya Singida United imemtangaza Ramadhan Nsanzurwimo kuwa kocha wake mkuu akichukua nafasi ya Fred Felix Minziro. Nsanzurwimo raia wa Burundi alikuwa akiinoa Mbeya City msimu uliopita. Facebook Twitter