VIDEO: Ajali mbaya ya basi iliyoua dereva wa lori, manusura asimulia a-z walikua wanashindana’’


Mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na wengine 30 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la kasanga manispaa ya morogoro na mkoa wa morogoro, ikihusisha magari matatu kwa mpigo huku chanzo cha ajali hiyo kikielezwa ni basi kampuni ya ilasi express lenye namba za usajili t 801 dbf lililo kuwa likitokea Dar es salaam kuelekea mbeya kugongana uso kwa uso na gari aina ya fuso lenye namba za usajili t 860 dde lililo sheheni viazi baada ya kujaribu kulipita gari jingine bila tahadhari.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items