Waziri wa madini Mh, Dotto Biteko amesema kuwa Tanzania inashika nafasi ya nne Afrika kuwa na madini mengi lakini wachimbaji wake bado ni maskini kitu ambacho serikali ya awamu ya tano haipendezwi nacho na ndio maana inaweka jitihada kubwa kuhakikisha mchimbaji wa madini ananufaika na uchimbaji wake na uchumi wa nchi unongezeka.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE
