VIDEO: DC Malunde apamba moto, atoa onyo kali kwa wanyunyuziaji dawa ya ukoko majumbani


Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Bi, Sada Malunde amewaonya vijana kutojihusisha na vitendo vya rushwa katika zoezi la unyunyiziaji dawa ya ukoko wilayani humo ikiwa ni lengo la serikali la kupunguza ugonjwa wa maleria na kupunguza vifo vitokanavyo na ugonjwa huo. Ambapo amesema kuwa vitendo vyovyote vinavyoeweza kusababisha zoezi hilo kukwama havikubaliki kama marelia na atakaye bainika ataangamizwa na kama wanavyoangamiza mbu uenezao marelia.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAHU KU SUBSCRIBE