VIDEO: Mama asimulia alivyopatwa na Sonona baada ya nyumba yake kuchomwa moto


Mama ambaye amejitambulisha kwa jina la Ziada Athumani amefunguka jinsi alivyopatwa na Sonona baada ya nyumba yake kuchomwa moto na kushindwa kuokoa hata kitu kimoja.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE