VIDEO: Mbowe acharuka uandikishwaji daftari la wapiga kura/ Amvaa Rais Magufuli


Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amecharuka kuhusu kinachoendelea katika uandikishwaji wa daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 24 ya mwaka huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE