VIDEO: Onyo kali latolewa wananchi kuhusu uchaguzi wa serikali za Mtaa


Mkuu wa mkoa Kagera Brig, Jen. Marco E. Gaguti amewaonya wananchi watakao jaribu kutaka kujiandikisha tofauti na mtaa wapoishi katika zoezi la kujiandikisha kupiga kura za kuwapata wenyeviti wa serikali za mitaa na wajumbe wake kutojaribu kufanya hivyo kwasbabu kufanya hivyo ni kosa na atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi