VIDEO: Tetesi za soka leo Oktoba 15


Mambo ni moto ndani ya Yanga. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya benchi la ufundi la timu hivi sasa kuwa katika harakati kabambe za kuhakikisha wachezaji wake wanakuwa fiti tayari kwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, dhidi ya Pyramids ya Misri.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE