Watu 16 wauwawa kwenye shambulizi la msikiti Burkina Fasso


Inaripotiwa kuwa watu 16 wameuwawa na wengine 16 kujeruhiwa kwenye shambulizi la msikiti nchini Burkina Fasso.

Watu wenye silaha walivamia msikiti mkuu wa mji wa Salmossi na kudhihirisha changamoto zinazoikabili nchi hiyo kwenye mapambano yake dhidi ya wapiganaji wa itikadi kali.

Mashambulizi ya kuvizia ya wapiganaji wa itikadi kali tayari yamewauwa zaidi ya watu 1,000 nchini Burkina Fasso.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items