Waumini wa dini ya Kihindi wafanya maadhimisho ya sherehe ya Durga Puja


Waumini wa dini ya Kihindu waabudu msichana "Kumari" au mungu wa kike mbele ya sanamu ya udongo wa Durga wakati wa maadhimisho ya sherehe ya kila mwaka ya Durga Puja, iliyojaa mbwembwe na madoido mjini Kolkata, India, siku ya Jumapili.

Durga Puja ni sikukuu kubwa zaidi ya Kihindu ambayo inajumuisha ibada ya mungu wa kike Durga ambaye anaashiria nguvu na ushindi wa mema juu ya uovu katika historia ya kihindu.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia