Waziri Simbachawene akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia
byMuungwana Blog 5-
0
Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene akizungumza katika kikao na ujumbe kutoka Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID) kujadili kuhusu Mradi wa Tanzania Urban Resilience Programme (TURP) unaotekelezwa na Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) ambao umelenga kuzisaidia Halmashauri na Serikali Kuu katika kukabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi
Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene akisisitiza jambo wakati wa kikao na ujumbe kutoka Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID) pamoja na watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais kilichofanyika jijini Dodoma
Mtaalamu Mwandamizi wa Masuala ya Maendeleo Mijini na Usimamizi wa Majanga Kanda ya Afrika kutoka Benki ya Dunia Eric Dickson akitoa maelezo kuhusu Mradi wa kuzisaidia Halmashauri na Serikali Kuu katika kukabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi