BREAKING: Msanii Rosa Ree afungiwa na BASATA miezi 6


Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Rosa Ree kutojihusisha na muziki kwa miezi sita.

Hii ni kutokana na video ya wimbo wa Vitamin U aliyoshirikishwa na msanii Timmy Tdat wa Kenya kutokuwa na maadili na tayari video hiyo imeondolewa kwenye mtandao wa YouTube.

Picha chini ni Timmy Tdat na Rosa Ree.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items