Prof. Assad akabidhi ofisi kwa CAG Kichere


Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) aliyemaliza muda wake, Prof Mussa Assad leo Novemba 5, 2019 amekabidhi ofisi kwa CAG mpya, Charles Kichere.

Hapo jana Novemba 4, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alimuapisha  Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Kichere ameaanza kazi leo Novemba 05, 2019 baada ya Prof. Mussa Juma Assad kumaliza muda wake.



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items