Ripoti: Huyu ndiye Mwanaume mwenye mvuto zaidi duniani kwa mwaka 2019


Mwanamuziki nguli wa muziki duniani John Legend ametajwa ndiye mwanaume mwenye mvuto zaidi duniani kwa mwaka huu 2019.

Hiyo ni kwa mujibu wa jarida la People's Magazine nchini Marekani ambapo John Legend amechukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Mcheza filamu mashuhuri Idris Elba ambaye ndiye aliyekuwa katika nafasi hiyo kwa mwaka jana 2018.

Moja ya kigezo walichozingatia ni pamoja na suala la uvaaji, amekuwa ni mtu fulani hivi ambaye anajua kuzingatia mavazi kutokana na sehemu husika hivyo kuonekana nadhifu machoni mwa watu.



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items