Timu ya Taifa ya Wanawake ya Burundi yawasili nchini

 Timu ya Taifa ya Wanawake ya Burundi imewasili Tanzania tayari kwa michuano ya CECAFA kwa Wanawake inayotarajia kuanza Novemba 16 mpaka Novemba 25,2019 Dar es salaam.