Ubalozi wa Marekani nchini watoa tamko kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa


Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wake Nchini Tanzania imetoa tamko lake kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 24, 2019. 

Imedai kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi kwa kiasi kikubwa waliwatenga Wagombea kutoka vyama vya Upinzani katika mchakato wa Uchaguzi huo.



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items