VIDEO: Balozi aliyeenda usiku na mgambo kumkamata kijana aliyefariki kwa utata afunguka


Balozi wa eneo alilofariki Kijana Gerald Mollel ambaye kifo chake kina utata amesema kuwa ameenda kweli nyakati za usiku kumkamata kijana huyo lakini mengine yalioendelea kuhusu kijana kupigwa na Mgambo wa kata yeye hajui lolote

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items