VIDEO: CCM yatoa tamko uchaguzi wa serikali za mitaa ''sisi tutashirirki''

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeungana na kauli ya serikali kwamba ‘hakuna kuweka mpira kwapana ambapon kauli hiyo ilianza kutumiwa na Selemani Jafo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), na sasa imebebwa na CCM.

“Hakuna kuweka mpira kwapani, tunaishukuru serikali kwa kuwa na msimamo,” amesema Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wakati akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 13 Novemba 2019, jijini Dar es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE