VIDEO: Waziri Biteko amtumbua afisa madini


Waziri wa madini Dotto Biteko amemsimamisha kazi Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Arusha Robert Erick  kutokana na kushindwa kusimamia soko la madini na kusababisha kupelekea Wafanyabiashara kuuza madini na kununua nje ya soko hilo kinyume cha sheria za madini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items