VIDEO: Hii ndio serikali ya awamu ya tano kukuza sekta ya utalii Nchini


Mbunge wa Mtama mh, Nape Nawiye amesema kuwa ni jambo la kufuraisha sana katika kipindi hiki kifupi cha uongozi wa awamu ya tano kwa kuweza kupanua na kukuza sekta ya utalii nchini kwa kuongeza hifadhi nyingi mpya ambapo nchi inaenda kuongeza mapato na kupata wageni wengi kutoka nje ya nchi na ndani kuja kutembelea vivutio vilivyopo hapa nchini

kitu ambacho kila mwananchi kwa wakati wake ataweza kukuza uchumi wake na kunufaika na vivutio vilivyopo hapa nchini huku akiiomba wizara kuwaondolea kodi na tozo mbalimbali TANAPA ili waweze kusimamia kuhifadhi hizi walizoongezewa vizuri

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia