Waziri wa maliasiri na utalii mh, Khamisi Kigwangala amesema kuwa wizara yake imefanikiwa kudhibiti ujangiri wa kuuwa Tembo na Faru na wamebaki na jukumu la kupambana na majangiri wa kuwinda wanyamapori kwa ajiri ya kitoweo ambapo amesema kuwa na hao watamalizana nao huku akikumbushia kauli yake aliyowai kuitoa na kuzua mijadala mingi mitandaoni ikimtaka kufuta kauli
hiyo kwa kuwa baadhi ya watu hawakupendezwa nayo na kumtaka aombe radhi na kufuta kauli hiyo kitu ambacho amesema kuwa hakukubali kufanya hivyo kwa kuwa serikali inawekeza fedha nyingi sana za watanzania ili kutunza wanyama na misitu na kupitia wizara hiyo serikali inaingiza fedha nyingi nchini na kuongeza uchumi wa nchi
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KU SUBSCRIBE
