VIDEO: IGP Sirro azindua dawati la jinsia la watoto


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka wananchi kuacha
kujihusisha na vitendo vya ukiukwaji wa maadili jambo linalopelekea vitendo
vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items