Mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Burundi na klabu ya Kigoma Sisters, Esta Nahimana, amefunguk kuhusu mchezo wao wa kuafuta mshindi wa tatu waliocheza dhidi ya Uganda na kufungwa mabao 2-0. Mchezaji huyo amemtupia lawama mwamuzi aliyechezesha mchezo huo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
