VIDEO: Kocha Liogope achambua kiufundi mechi ya Kilimanjaro Queens na Kenya


Kocha ambaye pia ni mchambuzi wa soka, Kassim Liogope, amechambua kiufundi mchezo wa Kilimanjaro Queens na Kenya. Liogope amedai kuwa kikosi hiki cha Kilimanjaro baada ya miaka miwili au mitatu kitakuwa ni tishio kubwa kutokana na uwezo ulionyeshwa na wachezaji wake kwenye mashindani ya "Cecafa Senior Women's Challenge Cup".

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi