VIDEO: Mchambuzi Abbas Pira achambua kiufundi Sadio Mane kushinda tuzo ya mchezaji bora Afrika


Mchambuzi wa soka nchini Abbas Pira amechambua kiufundi kuhusu mchezaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Senegal, Sadio Mane nafasi yake ya kuweza kushinda tuzo ya uchezaji bora Afrika kwa mwaka huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items