VIDEO: Wenyeviti wa serikali za mitaa walioapishwa watema cheche/ Watoa onyo kwa wanaodai hawawatambui
byMuungwana Blog 1-
0
Baadhi ya wenyeviti wa serikali za mitaa wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambao wemeapishwa Alhamisi hii wamefunguka mazito huku wengine wakitoa onyo kwa wapinzani ambao wanadai kuwa hawawatambui.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE