Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala, Abdulaziz Ubaya, ameonyesha kufurahishwa na kitendo cha wapinzani kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambao umefanyika Novemba 24, 2019 na chama chake kuibuka na ushindi wa asilimia 100 kwenye wilaya yake.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
