Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa leo bungeni amezungumzia uchaguzi wa serikaki za mitaa,wakati alipoulizwa kwenye maswali ya papo kwa papo, amesema zoezi linaendelea na sasa linaelekea kuanza kwa kampeni kwa vyama kunadi sera zao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
