Waziri wa elimu sayansi na teknolojia mh, Joyce Ndalichako amesikitishwa na matumizi mabaya ya fedha zilizotolewa kwa ajiri ya miundo mbinu ya elimu katika vyuo mbali mbali vya veta mkoani Kagera kwa ujenzi uliopo chini ya kiwango na fedha walizopewa na serikali kupitia wizara ya elimu
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
