VIDEO: Yanga kuwakosa wachezaji wanne muhimu mechi na Alliance, Kisa ..
byMuungwana Blog 1-
0
Msemaji wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli, ameweka wazi kuwa wachezaji wao muhimu wanne wataukosa mchezo dhidi ya Alliance. Wchezaji hao ni Ali Ali, Feisal Salum, Makame na Mo Banka kutokana na kuitwa kwenye kambi ya timu ya Zanzibar Heros.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE