VIDEO: Wenyeviti na wajumbeserikali za mitaa Ilala walivyoapishwa leo, Mbunge Zungu ashuhudia


Alhamisi ya leo wenyeviti walioshinda katika uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na wajumbe wao katika wilaya ya Ilala, wameapishwa katika ukumbi wa Anatoglo jijini Dar es Salaam huku Mbunge wa jimbo hilo Mussa Zungu (CCM) akishuhudia uapishwaji huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items