VIDEO: Zitto aamua maamuzi mazito ''hujuma hii haivumiliki''


Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Novemba 24, mwaka huu ambapo sintofahamu imeibuka miongozi mwa vyama mbalimbali vya siasa nchini kufuatia kuenguliwa kwa wagombea ambao wanasadikiwa kutotimiza vigezo ambapo leo November 7, 2019 chama cha ACT Wazalendo wakiti kikiongea na waandishi wa Habari kimedai kuwa kuna hujuma zinaendelea kufanyika dhidi ya uchaguzi huo.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE