Wachezaji wa Taifa Stars wajumuika na wanafunzi wa Laurent International


Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” leo wamejumuika na Wanafunzi wa Laurent International ikiwa ni sehemu ya shughuli ya Kijamii kuelekea mchezo wa kufuzu AFCON 2021 dhidi ya Equatorial Guinea utakaochezwa Ijumaa Novemba 15 Saa 1 usiku Uwanja Taifa.