Yanga imefanikiwa kuibuka na pointi tatu baada ya kuichapa Alliance 2-1 katika mchezo wa Ligiu Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliopigwa kwenye dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.
Magoli ya Yanga yalifungwa na Patrick Sibomana dakika ya 25, David Molinga dakika ya 72 na lile la Alliance lilifungwa na Juma Nyangi dakika ya 55.
FT: Alliance FC 1-2 Yanga SC.
Magoli ya Yanga yalifungwa na Patrick Sibomana dakika ya 25, David Molinga dakika ya 72 na lile la Alliance lilifungwa na Juma Nyangi dakika ya 55.
FT: Alliance FC 1-2 Yanga SC.