Liverpool yapata pigo kwenye nafasi ya kiungo

Liverpool imethibitisha kuwa kiungo wake Fabinho atakua nje ya dimba hadi mwakani baada ya kuumia enka.

Raia huyo wa Brazil aliumia kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Napoli, mchezo ulioisha kwa sare ya 1-1.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items