Bondia mtanzania Hamis Maya ameshinda kwa TKO raundi ya nne nchini Ujerumani dhidi ya Piergiulio Ruhe.
Piergiulio kutoka Ujerumani hajawahi kupoteza pambano hata moja lakini hii ndio mara yake ya kwanza.
Kwaushindi huo kwa sasa unamfanya Hamis Maya ni kuwa bingwa mpya wa GBC Intercontinental Welterweight.
