Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imendelea tena leo kwa kushuhudia mchezo mmoja.
Mchezo hu ambao uliwkutanisha Azam FC na JKT Tanzania, umechezwa ktika uwanja wa Azam Complex Chamazi na timu hizo kutoka sare ya kufungana mabao 2-2.
Mabao ya Azam yamefungwa na Agrey Moris kwa njia ya penalti dakika ya 79 na Idd Seleman dakika ya 88.
Wakati huo huo mabao ya JKT Tanzania yamefungwa na Edward Songo dakika ya 12 na Danny Lyanga dakika ya 86.
