Hii ndio ratiba ya mechi 32 za kombe la ASFC



Jumatano ya leo katika ofisi za kituo cha runinga cha Azam, imepangwa droo ya timu 64 ambazo zitashiriki katika michuano ya ASFC.

Timu 20 zinatoka ligi kuu na timu 24 kutoka ligi daraja la kwanza na timu 20 zilizofuzu kutoka madaraja ya chini zimefuzu kushiriki kombe hilo.

Mabingwa watetezi Azam FC watakutana na African Lyon wakati Simba wakiwakaribisha Arusha FC na Yanga watakuwa wenyeji wa Iringa United.

Mechi hizi zitapigwa kati ya tarehe 22 na 28 mwezi Disemba mwaka huu.

Ratiba ya mechi nyingine zilizopangwa ni hizi hapa chini:

1. Migombani vs Mbeya City
2. Polisi Tanzania vs Top Boys
3. Mwadui FC vs Mkamba Rangers.
4. Tukuyu Stars vs Singida United.
5. Mbuni FC vs KMC
6. Alliance vs Transit Camp
7. Ndanda SC vs Cosmo Politan.
8. Milambo FC vs Ruvu Shooting.
9. Mbao FC vs Stand United.
10. Nyamongo vs Biashara United.
11. Mawenzi Market vs Mtwivila.
12. Mpwapwa United vs Kitayosa.
13. Talinega FC vs Friends United.
14. Ihefu vs Kasulu Red Star
15. Toto Africans vs Gipco.
16. Mighty Elephant vs Mashujaa FC
17. Jeshi Warriors vs Dodoma FC
18. Majimaji FC vs Pamba SC
19. Panama FC vs Area C
20. Gwambina FC vs Mbeya Kwanza.
21. Pan African vs Geita Gold.
22. Njombe Mji vs Sahare All Stars.
23. Lipuli FC vs Dar City.
24. Kagera Sugar vs Rufiji United.
25. Tanzania Prisons vs Mlale FC.
26. Mtibwa Sugar vs Rhino Rangers.
27. Simba SC vs Arusha FC.
28. Yanga SC vs Iringa United.
29. Coastal Union vs African Sports.
30. Namungo FC vs Green Warriors.
31. JKT Tanzania vs Boma FC
32. Azam FC vs African Lyon.