F Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Yanga kushinda jana | Muungwana BLOG

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Yanga kushinda jana


Bao pekee la Patrick Sibomana kwenye mchezo  hapo jana dhidi ya Tanzania Prisons, limeibeba Yanga kutoka nafasi ya 10 hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kama inavyoonekana hapa.