NEW AMBASSADOR INTERNATIONAL SCHOOL INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO, TABATA DAR.


Chini ya umiliki na usimamizi mpya wa wakristu (KKKT) New Ambassador International School yenye namba za usajili S1152 inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2020 kwa Kidato cha Kwanza 2020 na Darasa la Kwanza 2020.

Shule ni ya Kutwa na Bweni kwa wasichana na wavulana.

Mitihani ya kujiunga na dalasa la kwanza /standard one na kidato cha kwanza / Form one itafanyikaTarehe 17/12/2019 na 21/12/2019 saa 03:00 Asubuhi

Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu nne kwa mwaka, ikiwa ni January, April, July na September.

ADA NA MICHANGO KWA MWAKA
Ada kwa shule ya msingi dalasa la 1-7 Kutwa ni 1,100,000 kwa Boardin 1,500,000


Ada kwa sekondari Form 1- 4  Kutwa  840,000 Bweni (boarding) 1,510,000/=

Ada kwa kidato cha 5 na 6 kutwa 980,000 na  Bweni (boarding) 1,800,000/

Pia nafasi za kuhamia zipo.

1.Kidato cha pili,tatu na nne.
2.Darasa la pili hadi dalasa la saba.
3.kidato cha (5) kwa michepuo ya sayansi,
PCB, PCM ,CBG, na sanaa HGL, HGK, HKL, EGM, na HGE

Fomu zinapatikana shuleni na kwa mawakala wa mikoani kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0710 749 262/ 0758 557 640/ 0628 738 040 /0785 723 585

Waliopo nje ya DSM tuwasiliane Kupata utaratibu wa usaili.