Loading...

12/14/2019

TANZIA: Mzee Akilimali afariki dunia


Mwanachama mkongwe wa Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia akiwa Bagamoyo, Pwani baada ya kuumwa.

Kupitia Ukurasa wa Kijamii wa Msemaji wa Simba SC, Haji Marana amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kuandika "Inna lillah!! Tumeondokewa,,Mwamba ktk Miamba ya kabumbu nchin umeanguka,,Mzee wetu,Baba na Babu yetu,Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Yanga Ibrahim Akilimali katangulia mbele ya haki."

"Poleni familia,Poleni sana Wanayanga hakika huu ni msiba wetu sote na tutashiriki kikamilifu kwenye majonzi haya."

Kwa habari zaidi endelea kufuatilia Muungwana Blog.
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger