Umoja wa Ulaya umetoa mwito kwa Ujerumani kuwapokea wakimbizi watoto wanaosafiri bila ya kusindikizwa na watu wazima. Watoto hao wako kwenye kambi ya wakimbizi ya nchini Ugiriki.
Kamishna wa Umoja wa Ulaya ana wasiwasi juu ya hali mbaya iliyoko kwenye kambi hiyo. Msemaji wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya ameliambia shirika moja la habari la nchini Ujerumani kuwa Umoja wa Ulaya umeshaziomba nchi wanachama mara kwa mara kuwachukua watoto hao wanaosafiri bila ya kusindikizwa na watu wazima.
Kwa sasa sehemu 3,000 zinahitajika kwa ajili ya watoto 5,276.