VIDEO: DC Kinondoni 'Chongolo' afanya sherehe na polisi wastaafu kuwaaga, awapa somo zito


Usiku wa jana (Jumamosi) Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo, alikuwa mgeni rasmi katika sherehe ya kuwaaga wastaafu wa jeshi la polisi katika mkoa maalum wa kipolisi Magomeni. Sherehe hiyo ilifanyika katika hoteli ya Nefaland iliyopo Manzese Argentina. DC Chongolo amewapa somo zito wastaafu hao kuwataka awe na matumizi mazuri ya fedha zao wanazopata wanapostaafu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items