VIDEO: Angalia Halima Mdee alivyomtangaza Lema kwa mbwembwe baada ya kushinda uenyekiti
byMuungwana Blog 2-
0
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini katika uchaguzi uliofanyika Jumamosi ya Novemba 30, 2019 mjini Arusha.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE