VIDEO: GodblessLema ''lengo langu ni kuiangamiza CCM''
byMuungwana Blog 2-
0
Mwenyekiti mpya wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amewashukuru wanachama wa chama hicho kwa kumchagua kuongoza kanda hiyo ambapo ameweka wazi vipaumbele vyake ambavyo ataanza navyo katika majukumu yake hayo mapya.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE