VIDEO: Kocha Yanga na kepteni wafunguka kipigo walichokipata kutoka kwa Simba Queens


Kocha msaidizi wa Yanga Princess pamoja na kepteni wa timu hiyo Happyness Ezroni, wamefunguka sababu ya kufungwa magoli 3-1 na watani zao wa jadi Simba Queens.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE