Loading...

12/04/2019

VIDEO: Mkurugenzi wa Kampuni ya ujenzi aanguka ghafla baada ya kubanwa na Waziri Jafo


Waziri wa Nchini Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa, TAMISEMI, Selemani Jafo, ameagiza kabla ya tarehe 30 mwezi huu mradi wa ujenzi wa barabara uwe umekamilika na kuagiza kama utakuwa haujakamilika mkandarasi wa kampuni ya SKOL asipewe tena kazi yoyote kwenye miradi ya TAMISEMI.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.........USISAHAU KUSUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger