VIDEO: Mwanaharakati mwingine awacharua vikali balozi wa Marekani na Uingereza, Kisa ..
byMuungwana Blog 5-
0
Mwanaharakati wa mambo ya kijamii, Ally Mwinyi Simba, amewacharukia vikali mabalozi Marekani hapa nchini na yule wa Uingereza ambaye yupo ndani ya Jumuiya ya Umoja wa Ulaya, kuingilia masuala ya ndani ya nchi ambayo kisheria hayawahusu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE