F West Ham yamfuta kazi kocha wake Manuel Pellegrini | Muungwana BLOG

West Ham yamfuta kazi kocha wake Manuel Pellegrini


West Ham imemfukuza kocha Manuel Pellegrini baada ya saa chache kupita tangu wapate kipigo kutoka kwa Leicester City‬.

West Ham imepoteza mechi saba kati ya tisa zilizopita za ligi kuu nchini England ambapo wanashika nafasi ya 17 wakiwa na pointi 19.