F Arteta akamilisha usajili wa beki Arsenal | Muungwana BLOG

Arteta akamilisha usajili wa beki Arsenal

Klabu ya Arsenal imefanikiwa kumsajili beki Pablo Mari kutoka Flamengo kwa mkopo.

Thamani ya beki huyo ni £12m, ila Arsenal wamelipa £4m kama ada ya mkopo ambapo kunakipengele cha kumnunua jumla majira ya kiangazi kwa £8m.